sw_tn/deu/16/05.md

219 B

Huwezi kutoa dhabihu Pasaka

Hapa "Pasaka" uwakilisha mnyama ambaye atatolewa dhabihu.

ndani ya milango yako yote ya jiji

Hapa "milango" uwakilisha miji

wakati wa jua kwenda chini

"wakati wa jua kwenda chini"