# Huwezi kutoa dhabihu Pasaka Hapa "Pasaka" uwakilisha mnyama ambaye atatolewa dhabihu. # ndani ya milango yako yote ya jiji Hapa "milango" uwakilisha miji # wakati wa jua kwenda chini "wakati wa jua kwenda chini"