sw_tn/deu/15/22.md

20 lines
482 B
Markdown

# ndani ya malango
Hapa "malango" uwakilisha mji mzima.
# najisi... watu
Mtu ambaye hakubaliki kwa makusudi ya Mungu husemwa kama mtu najisi kimwili.
# watu wasafi
Mtu ambaye anakubalika kwa makusudi ya Mungu husemwa kama mtu msafi kimwili.
# paa na kulungu
Hawa ni wanyama wa mwitu wakiwa na miguu mirefu na mwembamba ambao hukimbia kwa haraka.
# haupaswi kula damu yake
"haupaswi kula damu yake." Yahwe hakuwaruhusu waisraeli kula damu kwa sababu damu iliwakilisha uhai.