# ndani ya malango Hapa "malango" uwakilisha mji mzima. # najisi... watu Mtu ambaye hakubaliki kwa makusudi ya Mungu husemwa kama mtu najisi kimwili. # watu wasafi Mtu ambaye anakubalika kwa makusudi ya Mungu husemwa kama mtu msafi kimwili. # paa na kulungu Hawa ni wanyama wa mwitu wakiwa na miguu mirefu na mwembamba ambao hukimbia kwa haraka. # haupaswi kula damu yake "haupaswi kula damu yake." Yahwe hakuwaruhusu waisraeli kula damu kwa sababu damu iliwakilisha uhai.