sw_tn/deu/15/22.md

482 B

ndani ya malango

Hapa "malango" uwakilisha mji mzima.

najisi... watu

Mtu ambaye hakubaliki kwa makusudi ya Mungu husemwa kama mtu najisi kimwili.

watu wasafi

Mtu ambaye anakubalika kwa makusudi ya Mungu husemwa kama mtu msafi kimwili.

paa na kulungu

Hawa ni wanyama wa mwitu wakiwa na miguu mirefu na mwembamba ambao hukimbia kwa haraka.

haupaswi kula damu yake

"haupaswi kula damu yake." Yahwe hakuwaruhusu waisraeli kula damu kwa sababu damu iliwakilisha uhai.