sw_tn/deu/15/11.md

737 B

Kwa kuwa masikini kamwe wataacha kuishi kwenye nchi

Hii inaweza kutajwa kwa mfumo chanya. "Kwa kuwa daima kutakuwa na watu maskini katika nchi"

kwa masikini

Jina kitenzi "maskini" linaweza kutajwa kama kitenzi.

Nakuamuru na kusema, "Unapaswa hakika kufungua mkono wako...kwenye nchi yako.'

Hii ina nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja inaweza kutajwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.

fungua mkono wako kwa ndugu yako, kwa mhitaji, na masikini wako

Mtu ambaye ana utayari kumsaidia mtu mwingine husemwa kama mkono wake uko wazi.

ndugu yako, kwa mhitaji wako, na masikini wako

Maneno "mhitaji" na "masikini" umaanisha kimsingi kitu kile kile na kusisitiza kwamba hawa ni watu ambao hawezi kujisaidia wenyewe.