sw_tn/deu/15/11.md

20 lines
737 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa kuwa masikini kamwe wataacha kuishi kwenye nchi
Hii inaweza kutajwa kwa mfumo chanya. "Kwa kuwa daima kutakuwa na watu maskini katika nchi"
# kwa masikini
Jina kitenzi "maskini" linaweza kutajwa kama kitenzi.
# Nakuamuru na kusema, "Unapaswa hakika kufungua mkono wako...kwenye nchi yako.'
Hii ina nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja inaweza kutajwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.
# fungua mkono wako kwa ndugu yako, kwa mhitaji, na masikini wako
Mtu ambaye ana utayari kumsaidia mtu mwingine husemwa kama mkono wake uko wazi.
# ndugu yako, kwa mhitaji wako, na masikini wako
Maneno "mhitaji" na "masikini" umaanisha kimsingi kitu kile kile na kusisitiza kwamba hawa ni watu ambao hawezi kujisaidia wenyewe.