sw_tn/deu/15/01.md

668 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

miaka saba

"miaka 7"

unapaswa kufuta madeni

"msamehe kila kitu ambacho watu bado wanadaiwa"

Hii ndiyo njia ya kutolewa

"Hii ni namna ya kufuta madeni"

mkopaji

mtu anayekopesha watu wengine fedha.

jirani yake au ndugu yake

Maneno "jirani" na "ndugu" kushiriki maana zilezile na msisitizo wa uhusiano wa karibu ambao wana nao na Waisraeli wenzake.

kwa sababu kufuta kwa madeni ya Yahwe kumetangazwa

Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "kwa sababu Yahwe amehitaji kwamba kufutwe madeni"

mkono wako unapaswa kutolewa

Hii ni nahau. "unapaswa kudai tena" au " unapaswa ulipaji"