# Habari ya jumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # miaka saba "miaka 7" # unapaswa kufuta madeni "msamehe kila kitu ambacho watu bado wanadaiwa" # Hii ndiyo njia ya kutolewa "Hii ni namna ya kufuta madeni" # mkopaji mtu anayekopesha watu wengine fedha. # jirani yake au ndugu yake Maneno "jirani" na "ndugu" kushiriki maana zilezile na msisitizo wa uhusiano wa karibu ambao wana nao na Waisraeli wenzake. # kwa sababu kufuta kwa madeni ya Yahwe kumetangazwa Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "kwa sababu Yahwe amehitaji kwamba kufutwe madeni" # mkono wako unapaswa kutolewa Hii ni nahau. "unapaswa kudai tena" au " unapaswa ulipaji"