sw_tn/deu/15/01.md

32 lines
668 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# miaka saba
"miaka 7"
# unapaswa kufuta madeni
"msamehe kila kitu ambacho watu bado wanadaiwa"
# Hii ndiyo njia ya kutolewa
"Hii ni namna ya kufuta madeni"
# mkopaji
mtu anayekopesha watu wengine fedha.
# jirani yake au ndugu yake
Maneno "jirani" na "ndugu" kushiriki maana zilezile na msisitizo wa uhusiano wa karibu ambao wana nao na Waisraeli wenzake.
# kwa sababu kufuta kwa madeni ya Yahwe kumetangazwa
Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "kwa sababu Yahwe amehitaji kwamba kufutwe madeni"
# mkono wako unapaswa kutolewa
Hii ni nahau. "unapaswa kudai tena" au " unapaswa ulipaji"