sw_tn/deu/14/28.md

24 lines
715 B
Markdown

# kila baada miaka mitatu utawasilisha sehemu ya kumi ya mazao yako
Mara moja kwa kila miaka mitatu Waisraeli walipaswa kutunza moja ya kumi zao ndani ya miji yao ingetumika kutoa kwa Walawi, yatima, wajane na wageni.
# ndani ya malango yenu
Hapa "malango" uwakilisha mji wote
# kwa sababu hana sehemu wala urithi pamoja nawe
Mungu hawapi ardhi yoyote Walawi husemwa kama hakuwapa urithi.
# yatima
Hawa ni watoto ambao wazazi wao wote wamekufa na hawana ndugu wa kuwajali.
# mjane
Huyu ni mwanamke ambaye mme wake amekwisha kufa na hana watoto wa kumjali katika umri wake wa uzee.
# kwa kazi yote mkon wako ambayo unafanya.
Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima. HIi inaweza kurejea kwa kazi ya mtu hufanya.