sw_tn/deu/14/28.md

715 B

kila baada miaka mitatu utawasilisha sehemu ya kumi ya mazao yako

Mara moja kwa kila miaka mitatu Waisraeli walipaswa kutunza moja ya kumi zao ndani ya miji yao ingetumika kutoa kwa Walawi, yatima, wajane na wageni.

ndani ya malango yenu

Hapa "malango" uwakilisha mji wote

kwa sababu hana sehemu wala urithi pamoja nawe

Mungu hawapi ardhi yoyote Walawi husemwa kama hakuwapa urithi.

yatima

Hawa ni watoto ambao wazazi wao wote wamekufa na hawana ndugu wa kuwajali.

mjane

Huyu ni mwanamke ambaye mme wake amekwisha kufa na hana watoto wa kumjali katika umri wake wa uzee.

kwa kazi yote mkon wako ambayo unafanya.

Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima. HIi inaweza kurejea kwa kazi ya mtu hufanya.