sw_tn/deu/14/11.md

275 B

ndege wote safi

Mnyama ambaye Mungu usema anafaa kwa ajili ya watu wake kula husemwa kama mnyama aliye msafi kimwili.

tai...tumbusi...kipungu...mwewe mwekundu na mweusi...kipanga.

Hizi ni ndege ambazo zinaweza kuamka usiku au kula wanyama wadogo na wanyama waliokufa.