# ndege wote safi Mnyama ambaye Mungu usema anafaa kwa ajili ya watu wake kula husemwa kama mnyama aliye msafi kimwili. # tai...tumbusi...kipungu...mwewe mwekundu na mweusi...kipanga. Hizi ni ndege ambazo zinaweza kuamka usiku au kula wanyama wadogo na wanyama waliokufa.