sw_tn/deu/14/06.md

20 lines
509 B
Markdown

# sehemu hiyo ya kwato
"ambayo wamegawanyika kwato" Hii ni kwato ambayo imegawanyika katika sehemu mbili badala ya kuwa moja kamili.
# utafuna macheuo
Hii umaanisha wanyama uleta chakula chake juu toka tumboni na kutafuna tena.
# sungura
Huyu ni mnyama mdogo mwenye masikio marefu ambaye huishi kwenye mashimu ya ardhi.
# pomono
Huyu ni mnyama mdogo ambaye huishi kwenye maeneo ya miamba.
# wako najisi kwenu
Kitu chochote Yahwe usema hakifai kwa watu wake kula husemwa kama kilikuwa najisi kimwili.