sw_tn/deu/14/06.md

509 B

sehemu hiyo ya kwato

"ambayo wamegawanyika kwato" Hii ni kwato ambayo imegawanyika katika sehemu mbili badala ya kuwa moja kamili.

utafuna macheuo

Hii umaanisha wanyama uleta chakula chake juu toka tumboni na kutafuna tena.

sungura

Huyu ni mnyama mdogo mwenye masikio marefu ambaye huishi kwenye mashimu ya ardhi.

pomono

Huyu ni mnyama mdogo ambaye huishi kwenye maeneo ya miamba.

wako najisi kwenu

Kitu chochote Yahwe usema hakifai kwa watu wake kula husemwa kama kilikuwa najisi kimwili.