# sehemu hiyo ya kwato "ambayo wamegawanyika kwato" Hii ni kwato ambayo imegawanyika katika sehemu mbili badala ya kuwa moja kamili. # utafuna macheuo Hii umaanisha wanyama uleta chakula chake juu toka tumboni na kutafuna tena. # sungura Huyu ni mnyama mdogo mwenye masikio marefu ambaye huishi kwenye mashimu ya ardhi. # pomono Huyu ni mnyama mdogo ambaye huishi kwenye maeneo ya miamba. # wako najisi kwenu Kitu chochote Yahwe usema hakifai kwa watu wake kula husemwa kama kilikuwa najisi kimwili.