sw_tn/deu/13/10.md

12 lines
472 B
Markdown

# amejaribu kukuchochea kutoka kwa Yahwe
"kugeuka mbali toka kwa Yahwe." Mtu anajaribu kusababisha mtu mwingine ache kumtii Yahwe husemwa kama mtu alikuwa anajaribu kumsababisha mtu kimwili kugeuka na kumwacha Yahwe.
# nje na nyumba ya utumwa
Hapa "nyumba ya utumwa" uwakilisha Misri ambapo watu wa Yahwe walikuwa watumwa.
# Israeli yote atasikia na kuogopa
Ilimaanisha kwamba wakati watu wanasikia kuhusu mtu aliyeuawa, watakuwa na hofu ya kutenda kama alivyofanya.