sw_tn/deu/13/10.md

472 B

amejaribu kukuchochea kutoka kwa Yahwe

"kugeuka mbali toka kwa Yahwe." Mtu anajaribu kusababisha mtu mwingine ache kumtii Yahwe husemwa kama mtu alikuwa anajaribu kumsababisha mtu kimwili kugeuka na kumwacha Yahwe.

nje na nyumba ya utumwa

Hapa "nyumba ya utumwa" uwakilisha Misri ambapo watu wa Yahwe walikuwa watumwa.

Israeli yote atasikia na kuogopa

Ilimaanisha kwamba wakati watu wanasikia kuhusu mtu aliyeuawa, watakuwa na hofu ya kutenda kama alivyofanya.