# amejaribu kukuchochea kutoka kwa Yahwe "kugeuka mbali toka kwa Yahwe." Mtu anajaribu kusababisha mtu mwingine ache kumtii Yahwe husemwa kama mtu alikuwa anajaribu kumsababisha mtu kimwili kugeuka na kumwacha Yahwe. # nje na nyumba ya utumwa Hapa "nyumba ya utumwa" uwakilisha Misri ambapo watu wa Yahwe walikuwa watumwa. # Israeli yote atasikia na kuogopa Ilimaanisha kwamba wakati watu wanasikia kuhusu mtu aliyeuawa, watakuwa na hofu ya kutenda kama alivyofanya.