sw_tn/deu/12/28.md

20 lines
471 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa aendelea kuzungumzwa kwa watu wa Israeli.
# Chungunza na kusikiliza kwa maneno haya ambayo ninakuamuru
Hapa "maneno" uwakilisha nini Musa anasema.
# ili iweze kukufanya vizuri wewe na watoto wako baada yako
Hapa "watoto" umaanisha watoto wako wote.
# wakati unafanya kile kizuri na sawa
Maneno "uzuri" na "sawa" yana maana ya kufanana na msisitizo wa umuhimu wa tabia nzuri.
# katika macho ya Yahwe
Hapa "macho" uwakilisha mawazo na maoni