# Habari ya jumla Musa aendelea kuzungumzwa kwa watu wa Israeli. # Chungunza na kusikiliza kwa maneno haya ambayo ninakuamuru Hapa "maneno" uwakilisha nini Musa anasema. # ili iweze kukufanya vizuri wewe na watoto wako baada yako Hapa "watoto" umaanisha watoto wako wote. # wakati unafanya kile kizuri na sawa Maneno "uzuri" na "sawa" yana maana ya kufanana na msisitizo wa umuhimu wa tabia nzuri. # katika macho ya Yahwe Hapa "macho" uwakilisha mawazo na maoni