sw_tn/deu/12/28.md

471 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumzwa kwa watu wa Israeli.

Chungunza na kusikiliza kwa maneno haya ambayo ninakuamuru

Hapa "maneno" uwakilisha nini Musa anasema.

ili iweze kukufanya vizuri wewe na watoto wako baada yako

Hapa "watoto" umaanisha watoto wako wote.

wakati unafanya kile kizuri na sawa

Maneno "uzuri" na "sawa" yana maana ya kufanana na msisitizo wa umuhimu wa tabia nzuri.

katika macho ya Yahwe

Hapa "macho" uwakilisha mawazo na maoni