sw_tn/deu/12/26.md

332 B

sadaka za viapo vyako

"sadaka kutimiza viapo" au "sadaka ya kiapo"

damu ya dhabihu zako itamwangwa nje

Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "kuhani atamwanga damu ya dhabihu"

utakula nyama

Sheria ya Mungu inafafanua sehemu za mnyama ni za sadaka za kuteketezwa, ambayo sehemu ni za kuhani na ni sehemu gani za mtoaji.