sw_tn/deu/12/26.md

12 lines
332 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sadaka za viapo vyako
"sadaka kutimiza viapo" au "sadaka ya kiapo"
# damu ya dhabihu zako itamwangwa nje
Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "kuhani atamwanga damu ya dhabihu"
# utakula nyama
Sheria ya Mungu inafafanua sehemu za mnyama ni za sadaka za kuteketezwa, ambayo sehemu ni za kuhani na ni sehemu gani za mtoaji.