# sadaka za viapo vyako "sadaka kutimiza viapo" au "sadaka ya kiapo" # damu ya dhabihu zako itamwangwa nje Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "kuhani atamwanga damu ya dhabihu" # utakula nyama Sheria ya Mungu inafafanua sehemu za mnyama ni za sadaka za kuteketezwa, ambayo sehemu ni za kuhani na ni sehemu gani za mtoaji.