sw_tn/deu/12/18.md

427 B

Habari ya jumla

Yahwe aendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli.

utakula

"utakula sadaka zako"

mbele ya Yahwe

"katika uwepo wa Yahwe

Mlawi aliyeko ndani ya malango yako

Hapa "mlango" uwakilisha mji mzima.

kila kitu ambacho unaweka mkono wako

Hapa "kuweka mkono wako" uwakilisha mtu mzima na kazi ambayo umefanya.

Uwe makini mwenyewe

"uwe mwangalifu"

kwamba usiache

Hii inaweza kutajwa kwa kauli chanya