# Habari ya jumla Yahwe aendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli. # utakula "utakula sadaka zako" # mbele ya Yahwe "katika uwepo wa Yahwe # Mlawi aliyeko ndani ya malango yako Hapa "mlango" uwakilisha mji mzima. # kila kitu ambacho unaweka mkono wako Hapa "kuweka mkono wako" uwakilisha mtu mzima na kazi ambayo umefanya. # Uwe makini mwenyewe "uwe mwangalifu" # kwamba usiache Hii inaweza kutajwa kwa kauli chanya