sw_tn/deu/12/18.md

28 lines
427 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Yahwe aendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli.
# utakula
"utakula sadaka zako"
# mbele ya Yahwe
"katika uwepo wa Yahwe
# Mlawi aliyeko ndani ya malango yako
Hapa "mlango" uwakilisha mji mzima.
# kila kitu ambacho unaweka mkono wako
Hapa "kuweka mkono wako" uwakilisha mtu mzima na kazi ambayo umefanya.
# Uwe makini mwenyewe
"uwe mwangalifu"
# kwamba usiache
Hii inaweza kutajwa kwa kauli chanya