sw_tn/deu/12/12.md

443 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

furahi mbele za Yahwe

"furahi katika uwepo wa Yahwe"

Walawi ambao wako ndani ya lango lako

Hapa " malango" kumbukumbu ya mji wenyewe.

kwa sababu hana sehemu au urithi miongoni mwenu

Ukweli kwamba Yahwe hawezi kutoa yoyote ya ardhi kwa Walawi huzungumzwa kama baba hakuwa anawapa urithi.

yeye hana sehemu

Hapa "yeye" urejea kwa Mlawi. Mlawi uwakilisha watoto wake