sw_tn/deu/12/12.md

20 lines
443 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# furahi mbele za Yahwe
"furahi katika uwepo wa Yahwe"
# Walawi ambao wako ndani ya lango lako
Hapa " malango" kumbukumbu ya mji wenyewe.
# kwa sababu hana sehemu au urithi miongoni mwenu
Ukweli kwamba Yahwe hawezi kutoa yoyote ya ardhi kwa Walawi huzungumzwa kama baba hakuwa anawapa urithi.
# yeye hana sehemu
Hapa "yeye" urejea kwa Mlawi. Mlawi uwakilisha watoto wake