# Habari ya jumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # furahi mbele za Yahwe "furahi katika uwepo wa Yahwe" # Walawi ambao wako ndani ya lango lako Hapa " malango" kumbukumbu ya mji wenyewe. # kwa sababu hana sehemu au urithi miongoni mwenu Ukweli kwamba Yahwe hawezi kutoa yoyote ya ardhi kwa Walawi huzungumzwa kama baba hakuwa anawapa urithi. # yeye hana sehemu Hapa "yeye" urejea kwa Mlawi. Mlawi uwakilisha watoto wake