sw_tn/deu/12/01.md

20 lines
394 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa bado anaongea na watu wa Israeli.
# utazishika
"unapaswa kutii"
# siku zote ambazo unaishi juu ya ardhi
Hapa "siku"uwakilisha muda mrefu zaidi. Pia, "kuishi juu ya ardhi" ni nahau ambayo inamaanisha muda mrefu mtu anaishi.
# hakika utaangamiza
"Unapaswa kuangamiza"
# mataifa utakayofukuza
Hapa "mataifa" uwakilisha makundi ya watu ambayo wanaishi huko Kanaani.