# Habari ya jumla Musa bado anaongea na watu wa Israeli. # utazishika "unapaswa kutii" # siku zote ambazo unaishi juu ya ardhi Hapa "siku"uwakilisha muda mrefu zaidi. Pia, "kuishi juu ya ardhi" ni nahau ambayo inamaanisha muda mrefu mtu anaishi. # hakika utaangamiza "Unapaswa kuangamiza" # mataifa utakayofukuza Hapa "mataifa" uwakilisha makundi ya watu ambayo wanaishi huko Kanaani.