sw_tn/deu/12/01.md

394 B

Habari ya jumla

Musa bado anaongea na watu wa Israeli.

utazishika

"unapaswa kutii"

siku zote ambazo unaishi juu ya ardhi

Hapa "siku"uwakilisha muda mrefu zaidi. Pia, "kuishi juu ya ardhi" ni nahau ambayo inamaanisha muda mrefu mtu anaishi.

hakika utaangamiza

"Unapaswa kuangamiza"

mataifa utakayofukuza

Hapa "mataifa" uwakilisha makundi ya watu ambayo wanaishi huko Kanaani.