sw_tn/deu/11/08.md

20 lines
462 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# kumiliki nchi
"chukua nchi"
# kule unaenda katika kuimiliki
Maneno haya "unaenda katika" inatumika kwa sababu ya watu wa Israeli watapaswa kuvuka mto Yordani kuingia Kanani.
# kuongeza siku zenu
Siku ndefu ni mifano ya maisha marefu.
# nchi imiminikayo maziwa na asali
Hii ni nahau. "nchi ambayo maziwa na asali ya kutosha yanamiminika" au "nchi ambayo iko vizuri kwa mifugo na kilimo"