sw_tn/deu/11/08.md

462 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

kumiliki nchi

"chukua nchi"

kule unaenda katika kuimiliki

Maneno haya "unaenda katika" inatumika kwa sababu ya watu wa Israeli watapaswa kuvuka mto Yordani kuingia Kanani.

kuongeza siku zenu

Siku ndefu ni mifano ya maisha marefu.

nchi imiminikayo maziwa na asali

Hii ni nahau. "nchi ambayo maziwa na asali ya kutosha yanamiminika" au "nchi ambayo iko vizuri kwa mifugo na kilimo"