# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # kumiliki nchi "chukua nchi" # kule unaenda katika kuimiliki Maneno haya "unaenda katika" inatumika kwa sababu ya watu wa Israeli watapaswa kuvuka mto Yordani kuingia Kanani. # kuongeza siku zenu Siku ndefu ni mifano ya maisha marefu. # nchi imiminikayo maziwa na asali Hii ni nahau. "nchi ambayo maziwa na asali ya kutosha yanamiminika" au "nchi ambayo iko vizuri kwa mifugo na kilimo"