sw_tn/deu/11/02.md

16 lines
341 B
Markdown

# ambao hawajui wala hawajaona
"ambao hawajapata uzoefu"
# mkono wako hodari, au mkono wake ulionyoshwa
Hapa "mkono hodari" na "mkono ulionyoshwa" ni mifano kwa ajili ya nguvu ya Yahwe. Maneno yaleyale yanaonekana katika 4:34.
# katikati mwa Misri
"katika Misri"
# kwa nchi yake yote
Hapa "nchi" uwakilisha watu. "kwa watu wake wote"