sw_tn/deu/11/02.md

341 B

ambao hawajui wala hawajaona

"ambao hawajapata uzoefu"

mkono wako hodari, au mkono wake ulionyoshwa

Hapa "mkono hodari" na "mkono ulionyoshwa" ni mifano kwa ajili ya nguvu ya Yahwe. Maneno yaleyale yanaonekana katika 4:34.

katikati mwa Misri

"katika Misri"

kwa nchi yake yote

Hapa "nchi" uwakilisha watu. "kwa watu wake wote"