# ambao hawajui wala hawajaona "ambao hawajapata uzoefu" # mkono wako hodari, au mkono wake ulionyoshwa Hapa "mkono hodari" na "mkono ulionyoshwa" ni mifano kwa ajili ya nguvu ya Yahwe. Maneno yaleyale yanaonekana katika 4:34. # katikati mwa Misri "katika Misri" # kwa nchi yake yote Hapa "nchi" uwakilisha watu. "kwa watu wake wote"