sw_tn/deu/10/22.md

321 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama wako mtu mmoja, hivyo "wewe" na "wako" viko kwa umoja.

alienda chini Misri

"alisafiri kusini mwa Misri" au "alienda Misri"

watu sabini

"watu 70"

nyingi kama nyota za mbinguni

Hii inasisitiza namba kubwa wanaisraeli ambao walikuwa na Musa.