sw_tn/deu/10/22.md

16 lines
321 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama wako mtu mmoja, hivyo "wewe" na "wako" viko kwa umoja.
# alienda chini Misri
"alisafiri kusini mwa Misri" au "alienda Misri"
# watu sabini
"watu 70"
# nyingi kama nyota za mbinguni
Hii inasisitiza namba kubwa wanaisraeli ambao walikuwa na Musa.