# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama wako mtu mmoja, hivyo "wewe" na "wako" viko kwa umoja. # alienda chini Misri "alisafiri kusini mwa Misri" au "alienda Misri" # watu sabini "watu 70" # nyingi kama nyota za mbinguni Hii inasisitiza namba kubwa wanaisraeli ambao walikuwa na Musa.