sw_tn/deu/10/12.md

20 lines
674 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa anazungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja.
# Sasa, Israeli
Hapa neno "Israeli" urejea kwa watu wa Israeli.
# nini Yahwe Mungu wenu uhitaji kwenu, isopokuwa kumuogopa...kwa uzuri wenu
Musa atumia swali kuwafundisha watu wa Israeli. Hili swali la kejeli linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "hiki ndicho Yahwe Mungu wenu uhitaji ninyi kufanya: kumuogopa...kwa uzuri wenu
# kutembea katika njia zake zote
Musa azungumza kama kumtii Yahwe kulikuwa kutembea kwenye njia.
# kwa moyo wenu wote na roho yenu yote
Hii nahau "kwa moyo wenu wote" umaanisha "kabisa" na "kwa roho yenu" umaanisha "kwa utu wenu wote." Haya maneno yana maana ileile.