sw_tn/deu/10/12.md

674 B

Taarifa ya ujumla

Musa anazungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja.

Sasa, Israeli

Hapa neno "Israeli" urejea kwa watu wa Israeli.

nini Yahwe Mungu wenu uhitaji kwenu, isopokuwa kumuogopa...kwa uzuri wenu

Musa atumia swali kuwafundisha watu wa Israeli. Hili swali la kejeli linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "hiki ndicho Yahwe Mungu wenu uhitaji ninyi kufanya: kumuogopa...kwa uzuri wenu

kutembea katika njia zake zote

Musa azungumza kama kumtii Yahwe kulikuwa kutembea kwenye njia.

kwa moyo wenu wote na roho yenu yote

Hii nahau "kwa moyo wenu wote" umaanisha "kabisa" na "kwa roho yenu" umaanisha "kwa utu wenu wote." Haya maneno yana maana ileile.