# Taarifa ya ujumla Musa anazungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja. # Sasa, Israeli Hapa neno "Israeli" urejea kwa watu wa Israeli. # nini Yahwe Mungu wenu uhitaji kwenu, isopokuwa kumuogopa...kwa uzuri wenu Musa atumia swali kuwafundisha watu wa Israeli. Hili swali la kejeli linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "hiki ndicho Yahwe Mungu wenu uhitaji ninyi kufanya: kumuogopa...kwa uzuri wenu # kutembea katika njia zake zote Musa azungumza kama kumtii Yahwe kulikuwa kutembea kwenye njia. # kwa moyo wenu wote na roho yenu yote Hii nahau "kwa moyo wenu wote" umaanisha "kabisa" na "kwa roho yenu" umaanisha "kwa utu wenu wote." Haya maneno yana maana ileile.