sw_tn/deu/10/08.md

32 lines
741 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Mwandishi atoa taarifa ya nyumba kuhusu kabila la Lawi.
# kusimama mbele ya Yahwe kumtumikia
"kutoa dhabihu ambayo Yahwe anahitaji"
# katika jina lake
"kwa mamlaka ya Yahwe" au "kama mwakilishi wa Yahwe"
# kama leo
"kama wanavyofanya leo"
# hakuna sehumu wala urithi wa nchi
Kabila la Lawi hawakupokea sehemu ya ahadi ya nchi wakati walipofika huko. Maana kamili ya maelezo haya inaweza kuwekwa wazi.
# Yahwe ni mrithi wake
Yahwe azungumza kwa mahusiano maalamu ambayo Aaron na uzao wake watakuwa pamoja naye kama Yahwe alikuwa kitu watakachoridhi.
# Yahwe Mungu wenu
Musa azungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja, hivyo neno "wewe" hapa ni umoja.
# kuzungumzwa kwake
"kuzungumzwa kwa kablia la Lawi."