sw_tn/deu/10/08.md

741 B

Taarifa ya ujumla

Mwandishi atoa taarifa ya nyumba kuhusu kabila la Lawi.

kusimama mbele ya Yahwe kumtumikia

"kutoa dhabihu ambayo Yahwe anahitaji"

katika jina lake

"kwa mamlaka ya Yahwe" au "kama mwakilishi wa Yahwe"

kama leo

"kama wanavyofanya leo"

hakuna sehumu wala urithi wa nchi

Kabila la Lawi hawakupokea sehemu ya ahadi ya nchi wakati walipofika huko. Maana kamili ya maelezo haya inaweza kuwekwa wazi.

Yahwe ni mrithi wake

Yahwe azungumza kwa mahusiano maalamu ambayo Aaron na uzao wake watakuwa pamoja naye kama Yahwe alikuwa kitu watakachoridhi.

Yahwe Mungu wenu

Musa azungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja, hivyo neno "wewe" hapa ni umoja.

kuzungumzwa kwake

"kuzungumzwa kwa kablia la Lawi."