sw_tn/deu/10/06.md

696 B

Taarifa ya ujumla

Mwandishi atoa sababu fupi wapi wanaisraeli walikuwa wamesafiri.

Watu wa Israeli...nchi yenye vijito vya maji

Hii utupa taarifa ya nyuma kuhusu wapi watu wa Israeli walisafiri. Pia inagusa kifo cha asili cha Moserathi.

Beerothi Bene Jaakani kwa Moserathi...Gudgodah...Jotbathah

Haya ni majina ya maeneno tofauti watu wa Israeli walipita wakati wakiwa jangwani.

Beerothi Bene Jaakan

Mtofasiri anaweza kuongeza maelezo: "Jina 'Beerothi Bene Jaakan' umaanisha "visima ambavyo vilikuwa vya watu wa Jaakan."

huko alizikwa

Hii ina kutofasiriwa kwa kauli tendaji. "Huko ndiko walikomzika" au wanaisraeli walimzika huko"

Eleazari

Hili ni jina la mwana wa Aaroni